External Pavings kwa kutumia mawe ya mtoni
Kama picha inavyoonesha mawe haya madogo hupangwa kwa kuunganishwa karibu juu ya surface ngumu iliyoandaliwa maalumu, na baadae kukaziwa na mchanganyiko wa sementi na mchanga kwenye maunganiko. Haya hutumiak kama mbadala wa paving blocks, slabs, tiles ama screeding ya kawaida.
1 comment:
Kazi nzuri....nimependa hii ya kutumia mawe ya mtoni ..inavutia
Post a Comment