JK AZINDUA NYUMBA ZA BEI NAFUU ZA NHC KIBADA, KIGAMBONI,DAR
JK akisalimiana na wafanyakazi wa NHC alipowasili kuzindua nyumba hizo
Kikundi cha hamasa kikitumbuiza
JK akitoa maelezo kwa Mchechu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck ole Medeye wakati wa uzinduzi wa nyumba hizo.
JK akiwa na baadhi ya maofisa wa NHC
Baadhi ya nyumba zilizozinduliwa na Rais Kikwete
No comments:
Post a Comment