Katika kiondokana na adha ya uharibifu wa mazingira kwa kukata miti ili kupata mbao za kujengea, teknolojia mpya ya kupauwa nyumba kwa kutumia chuma chepesi imeingia sokoni!
Chuma hizi nyeepesi kabisa na imara, zinakuepusha na hofu ya mchwa na paa kushuka kwa kuharibika mapema. Uimara wake ni wa kiwango cha juu. Hakishiki kutu, ni chepesi, kinafungika kirahisi, imara kwa paa, na linahimili janga la moto.
Kwa wanaohitaji chuma hiki wawasiliane na Mr. Quality East Africa Ltd kwa simu 0659781978
Endelea kutembelea blogu yako hii itakukutanisha na wataalamu mbalimbali na wabunifu wa bidhaa na mitindo ya ujenzi.
CO-OPERATIVE BANK YASHIRIKI MAADHIMISHO YA USHIRIKA, YAJIPANGA KUSOGEZA
HUDUMA ZA KIFEDHA KWA WANANCHI
-
Na Woinde Shizza, Arusha
Benki ya Ushirika Tanzania (Co-operative Bank) imedhamiria kuimarisha
huduma zake za kifedha kwa wanachama wa vyama vya ushiri...
35 minutes ago
0 Reviews:
Post a Comment