Tangu teknolojia ya matumizi ya bidhaa za aluminium na glasses yaingie nchini, kumekuwapo na muundo unaofanana wa madirisha ya nyumba yakiwa na sliding casement kubwa kidogo. Mara nyingi ni aidha vipande viwili au vitatu sambamba na ventlight kwa juu.
Leo nakusogezea ubunifu mwingine wa bidhaa hizi ambapo nakuunganisha na wataalamu kama picha za kazi zao zinavyoonesha hapo juu.
Co:Purity Company
Style:box box
Price: per sq.m 130,000/=
Glass used : t.bronze
Mawasiliano: 0715 252162
CWT YAASWA KUJIKITA KATIKA MAJADILIANO BADALA YA MIGONGANO
-
Serikali imevitaka vyama vya wafanyakazi nchini, ikiwemo Chama cha Walimu
Tanzania (CWT), kutumia meza ya majadiliano (Social Dialogue) kutatua kero
za w...
1 hour ago


0 Reviews:
Post a Comment