Sakafu ya mbao, kitaalamu inaitwa “Parquet Flooring”. Sakafu hii kama picha inavyoonesha imeunganishwa na tiles zenye rangi inayofanania nazo Hizi ni stepu za ngazi ambazo zimewekewa mbano ngumu badala ya tiles ama bidhaa nyingineyo. Iking’arishwa na varnish/polish hupendeza sana! Sakafu hii ni ya mbao tupu kabla ya kung’arishwa
Umeshawahi kufikiria kuwa na sakafu ya mbao ndani ya nyumba yako?
Reviewed by SeriaJr
on
Saturday, January 19, 2013
Rating: 5
2 comments:
Anonymous
said...
Natafuta sana mtu wa kuniwekea hii sakafu je nitapata wapi kwa bei poa sqm 80 hivi
2 comments:
Natafuta sana mtu wa kuniwekea hii sakafu je nitapata wapi kwa bei poa sqm 80 hivi
Mafundi wapo.. Pengine ningefahamu ulipo (Mkoa) hahalfu nijue namna ya kukuunganisha na mafundi hawa
Post a Comment